Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari wakuu.... Mimi ngozi yangu Nyeusi...ila nataka kidogo iwe kidogo niwe mweupe atleast maji kunde... Katika kuulizia wakanambia nitumie LOTION YA VASSELINE.... Sasa sijui inaweza nisaidia??
1 Reactions
42 Replies
12K Views
Wanaume wengi wanasemaga hawapendi mwanamke anae jipodoa Ila wacha tu tujipodoe kwakwel mpk mkituona barabaran mpagawe Chura sina na sura nayoo[emoji57][emoji57]
3 Reactions
148 Replies
18K Views
Naomba kuuliza, Ntapata wapi hansome up, kwa hapa dar. anaejua anijuze na je beiyake shilingi ngapi, Ahsante..
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Leo tutaangalia nafasi ya Asali katika afya ya nyuso zetu na urembo kwa ujumla wake ASALI ni chakula kitam kitokanacho na nyuki kwa kutumia nekta au maji yenye sukari yatokanayo na maua. KUNA...
3 Reactions
9 Replies
27K Views
Unaenda kwa mama lishe au muuza matunda unakuta kabandika mikucha utasema hachambi. Sasa sijui tunakula vinyesi vya wangapi kwa siku. Naomba niishie hapo kwa sasa
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari? Hivi dawa ya mafuta mengi yanayojitokeza usoni hasa pembezoni mwa pua uwa yanatolewa vipi au kwa dawa ipi?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalam kama kichwa kinavyojieleza kwa wale ndugu zangu ambao sio wapenzi wa perfumes na body sprays tuambiane Marashi mazuri yakunukia binafsi kuna marashi yanapendeza kwa wadada wa ki Islam...
2 Reactions
11 Replies
11K Views
Naomba nichukue nafasi hii adhimu kabisa na katika Jukwaa hili na Mtandao huu pendwa kabisa wa JamiiForums kumtakia Kila la Kheri Mnyange / Mrembo / Mlimbwende wa Kitanzania Dada Queen Elizabeth...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Sijui ni wangapi mnajua kuhusu hii bidhaa. Bidhaa yenyewe ni ‘body powder spray’. Ni poda [powder] ambayo unajipulizia mwilini: kwenye mabega, mgongoni, kifuani, chini ya makwapa, na kadhalika...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Je, ngozi kavu ni nini? Ngozi kavu ni ugonjwa unaotokana na ngozi kukosa unyevunyevu wake na kupelekea ngozi kuwa kavu. Tatizo hili lina visababishi vingi ila kwa leo nitavizungumzia vichache...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari ndugu zangu.. Naomba msaada wenu kwa anaye jua dawa/lotion/sabuni ambayo itanisaidia kuondoa weusi chini ya macho..
0 Reactions
8 Replies
16K Views
kumekua na ongezeko sana la kinadada kuvaa vikuku mguuni kama leo nimeenda kunyoa saloo X katika mkoa wa iringa nikakuta mdada kavaa skert zakubana zile wanazovaa hasa wanavyuo hajavaa kufuri...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer zenu mara ngapi kwa wiki? Au mpaka itoe kile kiharufu cha ubeberu...
8 Reactions
188 Replies
14K Views
Naomba kujua vyakula vinavosaidia makalio kuwa laini, pamoja na ngozi yake kuwa nyororo
0 Reactions
46 Replies
25K Views
Daaaah! Nipo kwenye gari hapa natoka mkoa nakuja Dar es salaam hili bus ni full kiyoyozi na madirisha yamefungwa Ghafla namvuta hewa nzito sana ya kipodozi,baada ya kufuatilia ile harufu inatoka...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari wakuu,naomba mnijuze kama kuna athari yoyote ya kupaka usoni majimaji ya mmea wa alovera. Pia naomba mnijuze kama kuna faida ya kupaka majimaji hayo.Nasubiri mawazo yenu , asanteni.
1 Reactions
4 Replies
9K Views
Hakuna cha mzuqa, Utakuta ni warembo tu with a fat gene lakini wanajikongoroa miili yao kwa kutokula ama kushinda na apple na maji ili wamaintain kukongoroka wenyewe wakidhani ni warembo kumbe...
8 Reactions
46 Replies
13K Views
Hii ni tahadhari kwa wanaume. Inasemekana kuwa vipodozi vya kujichubua wanaotumia wanaume kama clairmen, Dodo etc vinapunguza nguvu za kiume hadi kuwa gunia la kunde kabisa! NB: Msiseme hamjaambiwa!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kama unamiliki suruali zaidi ya kumi na tano na una boksa mbili tu wewe ni mchafu! Kama una pea moja tu ya viatu wewe ni mchafu,mwanaume viatu Kama unapiga mswaki Mara moja tu kwa siku wewe ni...
3 Reactions
194 Replies
13K Views
Back
Top Bottom