For Ladies. Wapi naweza pata Me too Wallet?

Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
16,383
41,381
Kuna wallet fulani ilikuwa na mac ya Me Too niliwahi kumnunulia wifi yenu miaka kadhaa iliyopita,ila kwa bahati mbaya ilikuja kuibiwa.

Alikuwa akiipenda sana ile wallet( rangi ilikuwa pink). Siku chache zijazo itakuwa birthday yake,ningependa kumfanyia surprise ya kumnunulia aina ile ya wallet ila kwa bahati mbaya nimejaribu kuitafuta bila mafanikio. Na hata kariakoo niliponunua ile ya mwanzo sipakumbuki.

So nahitaji msaada where can I get them?

Thanks.

Regards.
Analyse
 
Back
Top Bottom