Wapi naweza pata darasa la mitindo(fashion design) Dar es Salaam?

Sir_Finus

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
330
139
Wadau,

Natafuta darasa la mitindo (fashion design) na hair styles and design la muda mfupi kama mwezi au miezi mitatu.

Mwenye kujua naomba anipe direction na contact zao kama pia anazo darasa liwe linapatikana Dar es Salaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom