cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Miaka ya tisini hadi 2000 mwanzoni mashindano ya miss Bantu yalishika kazi sana, lakini 'sasa naona hakuna kabisa shindano hilo sijui wadau wamepotelea wapi.
Nilikua naenjoy sana kuona matukunyema na mawowowo.
Nilikua naenjoy sana kuona matukunyema na mawowowo.