Wanawake: Ukweli ndio huo

Youngblood

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
19,315
56,318
Mshukuru muumba kwa vile jinsi alivyokuleta duniani.
Usilazimishe lami ifanane na ugali.
2e26eeb4e428e77735c6604d11f89e3f.jpg
98a2b05a15a5348b5f17401ee5c14666.jpg

Hiki ndiyo kitachachokutokea kama ukilazimisha lami ifanane na ugali
71066381b79d5205c61bf81ec2314689.jpg

Just stay natural.
bf3a013b9fa7ac49c0e48642c1c62170.jpg
 
Mkuu..!
Kuna wengine wanatamani sana kuwa natural kama fulani jinsi alivyo natural, tatizo ni kwamba u-natural walionao huwa haukidhi yale mahitaji yao makubwa, ndio maana huwa wajiongeza.
 
Yah.Signature yako..nitakuombea VIZA
VIZA=Kinywaji cha kuonja asubuhi ili uweke oda jioni utokapo shamba.
Kuonja unapatiwa lita moja.
ukionja nyumba 5 unakuwa umeshakunywa lita 5 asubuhi
Kijijini raha sana
 
Mkuu..!
Kuna wengine wanatamani sana kuwa natural kama fulani jinsi alivyo natural, tatizo ni kwamba u-natural walionao huwa haukidhi yale mahitaji yao makubwa, ndio maana huwa wajiongeza.
Mahitaji yapi mkuu ambayo mwanamke natural anayakosa,hebu fafanua vizuri.
 
Yah.Signature yako..nitakuombea VIZA
VIZA=Kinywaji cha kuonja asubuhi ili uweke oda jioni utokapo shamba.
Kuonja unapatiwa lita moja.
ukionja nyumba 5 unakuwa umeshakunywa lita 5 asubuhi
Kijijini raha sana
Hiyo nimeipenda aisee,inapatikana wapi.
 
Back
Top Bottom