Wateja wa hizi designs ni nani?

Mr.Wenger

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
2,558
6,091
f15d719ef35579d26aeeb4d462ba03f4.jpg
Kama picha inavyojieleza hili swali hata mimi nimejiuliza lakini jibu nimepata;
00e3204ac6fdc29fef56f70756e17f24.jpg
 
Mungu wangu. Roho imeniuma ujue we Faiza. Ee Mungu tunusuru. Hata kwa bhangi hii haiwezekani. Maiti yenyewe inavalishwa vazi stahiki sembuse we uliye hai
 
Back
Top Bottom