sandramalando
Member
- Oct 25, 2016
- 37
- 16
Habari zenu,
Nimejaribu kufanya utafiti kidogo nikagundua asilimia kubwa ya wanaume wanaovaa SAA za mkononi huwa hazisomi majira. Sasa hii inaumuhimu gani wa kuvaa kitu ukaonekana mtanashati kumbe SAA kopo?
Mnatia aibu jamani.