Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,046
Nataka niagize mafuta haya ya Ngozi kutoka UK kwa ajili ya biashara , je ni mazuri?
Asante mamaHiyo lotion ni nzuri mkuu,nahisi yanatengenezwa kampuni moja na Queen Elizabeth.....mm ilinipenda!!!!!