nobody knows but me
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 525
- 362
Wakuu rafiki angu anatafuta pearls...vile vidude ambavyo vinatumika kutengenezea mapambo ya wanawake kama necklaces ama bracelets..... Hajui huwa vinapatikana maduka yapi....mwenye kujua tafadhali