Naomba kuuliza mahali wanapofanya waxing

wenalitha

Member
Apr 24, 2016
60
48
Kama kichwa cha habari kilivojieleza naomba kufahamishwa maeneo wanapofanya waxing kwa dar na Dodoma na gharama zake please.
 
Kama kichwa cha habari kilivojieleza naomba kufahamishwa maeneo wanapofanya waxing kwa dar na Dodoma na gharama zake please.
Kwa Dar kuna sehemu nyingi
kwa Zainab fremu inatazamana na Azania secondary bei zao nzuri inategemea unafanya sehemu gani kila sehemu inabei yake
Unaweza ni pm nkupe no ya mdada pale anafanya vzr mno anaweza pia kukufata home unampa na pesa ya nauli..

Kuna kariakoo kwa Happy karibu na Kongo bar.
 
Back
Top Bottom