Msaada: Nifanyeje lips zangu zisiwe black?

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,817
Wakuu, sivuti sigara, bangi lakini lips zangu zimekua black zinanikera sana.

Msaada please!
 
paka mchanganyiko wa sukari na maji ya limao au sukari na mafuta ya vaseline unachanganya kama kijiko kimoja unapaka mdomoni unasugua na kidole au mswaki, jaribu kufanya hivyo ina matokeo mazuri
 
Wakuu, sivuti sigara, bangi lakini lips zangu zimekua black zinanikera sana.

Msaada please!
Weka Vaseline au mafuta ya nazi mara 3 kwa siku kwenye lips zako. Kwa muda wa mwezi utakuwa upo poa leta mrejesho hapa baadae. Bila ya kusahau kunywa maji kwa wingi na acha bangi kama unatumia.

Ndukiiiii
 
Paka vaseline then pakaa sukari. After kama three or fours minutes fanya kama unasugua lips zenyewe kwa zenyewe. Fanya atlist kila siku. Baada ya muda utaona matokeo.
Pia uwe unapaka lip balm (tafuta za Nivea ni ideal kwa wanaume coz hazing'ai mdomoni). Good luck
 
Thanks!
 
Back
Top Bottom