Nataka niongeze uzuri wa muonekano wangu wa mwili (sex body)

the happiest man

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
253
215
Naukubali mwili wangu jinsi ulivyo ila naomba ushauri ni jinsi gani naweza kuongeza muonekano wangu maana mwili wangu mimi ni mwembamba kiasi kwamba nikivaa masharti nahisi hayanikai vizuri, wale wataalamu wa afya inawezekana nikaongeza mwili wangu kwa mazoezi?

Nataka niongezee uzito kidogo, nyama za mwili na uzito wangu kiujumla, uzito wangu ni 60kg kwa wataalamu wa afya wamenambia uzto wangu urange btn (50-64) body mass BMI 22 HEIGHT ni 164.5 na Age ni 26 yrs old.
 
Kuna thread jukwaa hili hile itafute, inatoa somo kwa watu kama wewe.
 
Naukubali mwili wangu jinsi ulivyo ila naomba ushauri ni jinsi gani naweza kuongeza muonekano wangu Maana mwili wangu Mimi ni mwembamba kiasi kwamba nikivaa masharti nahisi hayanikai vizur, wale wataalamu wa afya inawezekana nikaongeza mwili wangu kwa mazoezi?? Nataka niongezee uzito kidogo, nyama za mwili na uzito wangu kiujumla, uzito wangu ni 60kg kwa wataalamu wa afya wamenambia uzto wangu urange btn (50-64) body mass BMI 22 HEIGHT ni 164.5 na Age ni 26 yrs old

Ushavaa masharti mangapi mpaka sasa hivi? (Nazingua)

Back to the story.
By sex body naassume unamaanisha mwili ambao utakua una cutting katika kila sehemu ambayo binadamu anatakiwa awe na cutting lakini kwa kua umesema wewe ni mwembamba hiyo inamaanisha ubadilishe namna yako unavyokula huku ukifanya mazoezi ya kukupa hizo cutting.

Kama una uwezo wa kifedha pia hata interval ya chakula itabidi iongezwe badala ya kula mara tatu au mbili kula hata mara nne.

Asubuhi saa mbili au tatu nikitoka mazoezini hua nakunywa uji wa ulezi umechanganywa na peanut butter kisha nalala kwa saa moja (sina kazi ni mhitimu), typically asubuhi yangu hua hivi ingawa hua nabadilika, nikiamka ni mkate, ndizi 3, maziwa, mostly na mboga iliyoachwa jana usiku (kama una pesa utakua unakaanga kuku, dagaa, samaki, maini, nyama n.k).
Mchana na usiku hua naruka na code yoyote ambayo mwenye nyumba anakua kaamua.
 
Naukubali mwili wangu jinsi ulivyo ila naomba ushauri ni jinsi gani naweza kuongeza muonekano wangu Maana mwili wangu Mimi ni mwembamba kiasi kwamba nikivaa masharti nahisi hayanikai vizur, wale wataalamu wa afya inawezekana nikaongeza mwili wangu kwa mazoezi?? Nataka niongezee uzito kidogo, nyama za mwili na uzito wangu kiujumla, uzito wangu ni 60kg kwa wataalamu wa afya wamenambia uzto wangu urange btn (50-64) body mass BMI 22 HEIGHT ni 164.5 na Age ni 26 yrs old
sex body ndio nini? unakimbiwa na wanawake nini?
 
Me hua napiga push ups hamsini pull ups ishilini..... Weka mikono nyuma shika kitanda shuka mala ishilini na hold breath na kukaza tumbo kwa dakika moja..... Nafanya hv kila ninapoenda kuoga ko ni mala mbili kwa siku......... Nina mwili amazing saaaana
 
Tafuta protein supliments, nenda super market au kwa doctor upewe ushauri ipi inakufaaa.

Hapo ukipiga Tizi wiki tu, utaona tokeo lake
 
Nmeamin ukitaka kujua w mzm nenda hospitali ,mkuu w una kg 60 mwenzio nna 52 kg tena zmeongezeka from 45 kg
 
piga pushups sana au nyanyua nondo pia piga zoezi la bie ceps na try ceps japo ni ngum ila ni nzr sana
 
Wataalamu wa afya wamekwambia uzito wako una range between 50-64????

Now this is the most bizarre thing I've read in the internet

Mkuu huwezi kupima body weight ukapata exact figure?????
 
Wataalamu wa afya wamekwambia uzito wako una range between 50-64????

Now this is the most bizarre thing I've read in the internet

Mkuu huwezi kupima body weight ukapata exact figure?????
huo ni ushauri na proposal za dactali na sio google
 
Wataalamu wa afya wamekwambia uzito wako una range between 50-64????

Now this is the most bizarre thing I've read in the internet

Mkuu huwezi kupima body weight ukapata exact figure?????
Huyo kama Height yake ni 164cm uzito wake unatakiwa uanzie 62-66kg.Tofauti na hapo hayupo normal.
 
Back
Top Bottom