Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari ya sasa hivi Nina project ya Agriculture inajihusisha na wakulima wadogo, natafuta mtu ambaye tunaweza kufanya naye (partner) Document zote zipo vigezo financial free pia awe na...
0 Reactions
5 Replies
914 Views
Mulberries matunda yake hakuna hata mmoja humu anaye weza pinga kwamba sio matunda matamu, Mulberries binafisi nikikutana nayo popote pale lazima niyachume nile. Haya matunda ambayo nahisi asili...
16 Reactions
38 Replies
3K Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa kwanza, nilikua nawazo la kuanza kuwekeza kwenye kilimo kupitia boom langu. Sasa ni kwamba kwasasa sijui ni aina gani ya mazao ambayo nitaweza wekeza na...
0 Reactions
9 Replies
977 Views
Nina eneo kubwa nataka kulima maharage. Naomba kujua ni aina gani ya maharage inapendwa sana sokoni na bei yake imechangamka sokoni. Ukinipa na mbegu inakopatikana itapendeza. Eneo heka 2
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwa Kiha yanaitwa KINULE! Kwa Kiswahili yanaitwaje? Au ndiyo NGWARA? Yanalimwa zaidi nchini Burundi. Ni watu wachache sana wanaoyalima Kigoma. Mengi yaliyopo "masokoni" Kigoma yametoka huko...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Naomba mnielekeze kampuni inayouza vifaa vya kuendeshea kilimo kama vile power tiller, gasoline micro tiller, na pipe za kuvutia maji katika kilimo cha umwagiliaji
0 Reactions
1 Replies
351 Views
Habari za leo wapendwa, baada ya kujuzwa faida ya mmea wa azola ulivyo na ufanisi na mkombozi kwa wafugaji, niliingia shambani kwa ajili ya kilimo na sasa mavuno yako tayari. Kwa yeyote...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna Viwavi...
4 Reactions
7 Replies
832 Views
Habari ya Kazi, poleni na harakati za kila siku. Nimekuja mbele yenu ili mnijuze kiuagugu ambacho ni Bora kwenye maharage. Yaaan namaanisha Chenye ufanisi mkubwa kuua magugu na nyasi na kuacha...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za humu ndani wadau, nimesoma maandiko mengi na kusikiliza wataalamu wengi juu ya kilimo cha mahindi. Wapo wanaosema unaweza tumia viua magugu km round up kuandaa shamba badala ya kulima...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari ndugu wakulima wenzangu. Leo natoa taarifa tuu ya Hadhara kwamba mjiandae kisaikolojia maana bei ya Mahindi itaenda kushuka sana. Kenya ambayo ndio soko kuu la Mahindi ya Tanzania bei...
6 Reactions
65 Replies
14K Views
0693392242 natafuta dalali waaminifu kwenye samaki nimpe tenda
1 Reactions
10 Replies
801 Views
Habari za Leo?! Nahitaji kuku chotara wenye umri kuanzia miezi miwili kwa mkoa wa Morogoro au Dodoma.
1 Reactions
5 Replies
819 Views
Wakuu salama. Nahitaji shamba la kulima mahindi mkoa wa Katavi. Linaweza kuwa pori nisafishe au shamba la mtu anayehama. Wilaya ninazohitaji Ni: Tanganyika au Mlele Shamba la karibu na mto...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam kwenu wapendwa, Mimi ni mkulima wa mazao ya nyanya na viazi mviringo. Kuna ugonjwa ambao unanitesa sana shambani kwangu na kwa wengine pia ugonjwa wenyewe ni mmea kunyauka pindi tu...
1 Reactions
6 Replies
853 Views
Baada ya kumaliza kula michembe na maziwa nimekaa zangu kwenye duka la Muha nikaona mdahalo unaoendelea muda huu kupitia TBC 1 ambapo wadau mbalimbali wanajadili masuala mbalimbali hususani...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Wakuu nawasalimu, Heri ya sikukukuu ya Pasaka. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada nataka kuanza kilimo cha maharage na target yangu ni kupata gunia zisizopungua 100, naomba...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Jinsi ya kutengeneza kiuadudu cha asili kwa kutumia mbegu za mti wa mwarobaini. Okoa fedha na linda afya za walaji kwa kutumia viuadudu vya asili kudhibiti wadudu shambani kwako. Fuata hatua...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina kuku wakubwa ambao nawatumia kama wazazi,pia nina vifaranga wa takriban miezi 3 na nusu,mara mwisho niliwapa chanjo ya kideri tar. 20.8.2023 na hapa kati nilikuwa na vifaranga wengine...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
UFUNGUZI Kutokana na teknolojia ya uchanganyaji wa vyakula kukua kwa kasi na kutuletea vyakula vyenye uwiano sahihi, kwa namna moja ama nyingine baadhi ya wafugaji wamekuwa wakilazimika kutumia...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom