Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

  • Closed
Wakuu nauliza wale wanaolima mboga mboga za majani kule Morogoro wanalima sehemu gani. Yaani ni wilaya ipi na kijiji kipi, maana nimeona mboga nyingi zinatoka huko kuingia mjini Dar es Salaam...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Inayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja. Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili. Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Heshima yenu wakuu! Mwenye kujua au aliyewahi kutumia mbolea hii ya maji almaarufu Kwa jina la supergrow. Je nikweli Ipo Vizuri ukilinganisha na mbolea hizi tulizo zoea kama NPK, CAN, UREA, DAP...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari wana jukwaa, Kuku wangu wanataga mayai hayana kiini cha njano kabisa, hata niwape vitamini gani. Katika pita pita nikagundua hii carogold, natamani kuitumia lakini najiuliza je haina...
1 Reactions
5 Replies
792 Views
MBUNGE EDWARD LEKAITA AWATAKIA WAKULIMA MSIMU MWEMA WA KILIMO KATA YA KALOLENI JIMBONI KITETO Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita ametembelea na kushiriki shughuli...
1 Reactions
3 Replies
545 Views
Nawasalimia ndugu zangu, Poleni kwa changamoto ya mvua Nina shamba langu dogo hapo Chalinze, nataka nilipande miti pembeni kulizunguka. Je, huu ni msimu mzuri wa kuotesha miti? Je, ni miti...
2 Reactions
5 Replies
960 Views
Watu wengi hasa hapa Bongo tunajua kazi ya punda ni kubeba mizigo au hata kwenda Kulima, na sasa pia ile ya kuchinjwa na wachina. Ila jambo tusilo lijua ni kwamba Punda pia anatoa maziwa au...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Mfano; unalima VIAZI VITAMU sasa hivi target ni mauzo muda wa ramadhani na ndiyo mda wa kuvuna huo. Bei zinakuwaje? Gunia shiling ngapi? Nahitaji ya kulima yapoje?
2 Reactions
4 Replies
954 Views
Jamani naomba msaada ni mbolea zipi zinafaa kupandia mahindi na mbolea zipi zinafaa kukuzia mmea wa mahindi? Je, na mbolea ya urea ni mbolea ya kupandia au kukuzia?
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Sijui jina halisi la kitaalamu lakini suala lenyewe lipo hivi. Nikiwa mdogo nilishawahi kuona hii kitu kijijini, leo hii na mimi nataka nikafunge udongo kwenye tawi la miti ya milimao na...
4 Reactions
3 Replies
540 Views
Nyie vijana endeleeni kupiga majungu na uzandiki maskani sie vijana wenzenu tunaendelea kupiga maokoto kwenye kilimo just imagine kama mie naweza.kuingiza milioni 50 kwa mwaka wewe kijana...
15 Reactions
150 Replies
8K Views
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amebainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepania kuifanya sekta ya Uvuvi kuwa moja ya sekta...
0 Reactions
1 Replies
565 Views
SUKITA lilikuwa shirika la kukuza Uchumi na Kilimo nchini. Kwa 100% lilimilikiwa na Chama. Kutokana na ukosefu wa Ajira ni wakati sasa lifufuliwe ili utekelezaji wa ilani uendane na vitendo.
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Wapendwa ndugu zangu, majirani, marafiki na familia ya wakulima wa mazao mbalimbali maeneo tofauti nchini,. Habari za kazi, majukumu na maandalizi ya msimu wetu pendwa wa kilimo? Nimewiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni mtaalam wa kilimo na ufugaji nimeupata ujuzi huu kutoka katika chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine Morogoro. Natafuta mtu ambaye anatamani kuwekeza katika kilimo cha...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wakuu, me ni mkulima mchanga ndo nimeanza kilimo, nina swali, hivi kuna dawa ya kuzuia mimea ya mahindi yasiliwe na wadudu yakiwa shamba au nisubir kama nitaona wadudu ndo nipulize dawa!?
0 Reactions
5 Replies
987 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeridhishwa na usimamizi wa fedha ujenzi wa miradi ya Umwagiliaji katika mashamba ya Taasisi ya Utafiti wa Mbegu (TARI) pamoja na Mashamba ya Wakala wa Mbegu...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Mageuzi ambayo yamekuwa yakifanywa na Serikali ya Rais Samia yamekifanya Kilimo kuwa sekta kimbilio na ya kuaminika. Ikumbukwe miaka michache Iliyopita Kilimo kilikuwa kinaonekana ni kazi ya...
1 Reactions
14 Replies
859 Views
Wadau naomba mnijuze kwa wenye uzoefu. Huwa nikienda magogoni ferry kwenye soko la samaki naona ni biashara ambayo hailali. Hebu mnijuze nikitaka kufanya biashara ya uvuvi baharini nini...
1 Reactions
22 Replies
11K Views
Habari za mids hii Siku Kama nne hivi zilizopita nimenunua vifaranga 7 aina ya saso , sijawahi kufuga kuku ndo nimeamua jaribu , baada ya kuwachukua nilinunua starter 1Kg ndo wanaila ila hapa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom