Haya ni maharage gani?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Kwa Kiha yanaitwa KINULE!

Kwa Kiswahili yanaitwaje? Au ndiyo NGWARA?

Yanalimwa zaidi nchini Burundi. Ni watu wachache sana wanaoyalima Kigoma. Mengi yaliyopo "masokoni" Kigoma yametoka huko.

Kwa anayefahamu atusaidie jina kwa Kiswahili na upatikanaji wake ulivyo, na bei pia, katika miji mikubwa kama Dar, Mwanza, na Arusha.

Asante🙏

IMG_20231213_120218_616.jpg
IMG_20231213_120210_258.jpg
 
Mkuu ungeweka mbegu yake tuone inafananaje.. Majani nimejaribu kuzoom sijaambulia kitu maana majani hua yanafanana
Mbegu yake sijaiona mkuu. Ila naweza nikaletewa kesho. Nimemwomba mtu anitafutie ili nijue kama ni NGWARA au ni aina nyingine ya maharage jamii ya NGWARA.
 

Attachments

  • VID_20231219_185513.mp4
    64.4 MB
  • IMG_20231219_185528_959.jpg
    IMG_20231219_185528_959.jpg
    652.8 KB · Views: 8
  • IMG_20231219_185525_621.jpg
    IMG_20231219_185525_621.jpg
    763.3 KB · Views: 9
Kwa kilo shi ngap? Na yanavunwa baada ya wiki ngapi? Na soko lake ni nchi gani huko makuuu.
Alisikika mkenya fulani 😂😂😂😂
Wanayauza sokoni sh 2,000/= kwa kopo. Yanazidiwa bei na maharage ya njano.
 
Back
Top Bottom