Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Poleni na majukumu wakulima, samahani ningependa kujua Chemba Dodoma kunafaa kilimo kipi..?? Je kumwagilia ni muhimu..?? Natanguliza Shuktani[emoji1666][emoji1666]
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hbr za leo wapendwa, Nauliza hvyo kwa sababu mm nimekula mweleka mara mbili bila kupata chochote. 2018 nilipeleka mbegu ivuna mkoa wa Songwe sijapata hata tunda Moja nikawa Kama nilitapeliwa...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Kwa wiki nzima sasa nimezunguka vijiji kadhaa nikifanya ziara ya kitafiti kuhusu kilimo. In fact tusiite ziara niseme tu nachunguzachunguza mustakabali wa kilimo kupitia kivuli cha kuwatembelea...
21 Reactions
55 Replies
16K Views
Kwenye Bible kuna maneno yana sema "Watu wangu wanaangami kwa kukosa maarifa" Binafisi huwa nakubaliana na hayo maneno kwa asilimia zote. Opontia ni mmea kutoka katika familia ya cactus kama...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Horned Melon au Kiwano ni tunda ambalo asili yake hasa ni Africa, ingawa kwa sasa limesambaaa sana Dunia nzima ila mbegu zake walichukua Africa, Horned Melon inalimwa sana Asia, huko Australia na...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Button Mushroom, ni aina ya uyoga ambao ni ghar saba sokoni ukilinganisha na varieties zingine kama Oysters.Shida ni kwamba wazalishaji wanaiogopa hii aina kwa sababu nazani ya process zake za...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Yaani ukisikia kufikiria mpaka kufika kwenye bar ndo huku Mwenzenu Nina heka nne za mahindi na Mungu kanisaidia mahindi yako vizuri natamani nipate mfuko mmoja wa MBOLEA nikuzie angalau hekta...
2 Reactions
4 Replies
589 Views
Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0788768480,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana dar es...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimesia Kiwano meloni ingawa nilipata tunda moja ambalo ndio nimekamua mbegu, ila sio mbaya sana, na natarajia hadi mwakani mwezi wa 3 nifanye Market testing ya haya matunda kwenye baadhi ya Super...
5 Reactions
8 Replies
691 Views
Wanajukwaa mimi ni mmiliki wa trekta zaidi ya moja naomba kujua ni maeneo gani yanauhitaji mkubwa wa trekta wakati wa msimu wa kilimo na ni mwezi upi? Kama mtu Anauhitajika na trekta la kulima...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndugu Wana jamvi habari ya leo Niko Kanda ya Kati Singida nauliza ni mbegu ipi ya mahindi inastawi vizuri huku. Msimu umeanza niweze kupanda.
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Ukitembela miji mingi, kitoweo ni changamoto kubwa sana, hasa upatikanaji na pia bei zake. Ikishafika jioni huwa familia nyingi hasa hizi za vipato vya chini huwa wanawaza sana kuhusu kitoweo...
4 Reactions
7 Replies
967 Views
Migomba Aina ya malindi, Mshare, Bukoba, mzuzu na kisukari utaipata kwa Bei nzuri kabisa. Tupigie Leo 0752799673/0746850361
2 Reactions
7 Replies
950 Views
Natamani kulima maboga ila sijui kanuni kuanzia mbegu,udongo,msimu mzuri wa kulima na soko
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbinu muhimu wakati wa uanzishaji ufugaji wa samaki i. Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji. Ni wazi kuwa dhamira ya kweli ni kitu muhimu sana unapotaka kufanya jambo...
1 Reactions
2 Replies
968 Views
Habari zenu Wakuu, Wapi naweza pata chokaa kwa matumizi ya kilimo maana nimeulizia Dodoma cement wenyewe wanauza kuanzia 1000 kg na Mimi nahitaji 100kg. Napatikana Singida
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana JF! Kwa sasa hivi nimeona juhudi mbalimbali zinazochokuliwa kuinua kilimo cha mkonge kwa maelezo kwamba kinalipa kwa kuwa ni zao lenye soko kubwa. Naomba kujua uzoefu wenu katika...
2 Reactions
19 Replies
10K Views
Habari, Mimi ni mkulima wa vanilla nataka kukua sasa kwa kujenga greenhouse yangu kama m² 30/40. Hivyo nataka kujua ghalama za net kwa ambaye anajua anaweza kunielekeza na sehemu ya kuzipata na...
0 Reactions
2 Replies
413 Views
Habarini wafugaji wenzangu. Nina imani mifugo yenu inaendelea vema. Mimi ni mfugaji mdogo na si wa siku nyingi sana, kwa kipindi nilichofuga mpaka sasa nimeweka malengo makubwa ya kufika mbali...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji automatic rollers/ trays zinaweza kutumika katika incubator, Kama picha invyoonesha.Nahitaji kujua Bei za manunuzi yake zimekaaje kwa Dar es salaam
2 Reactions
3 Replies
633 Views
Back
Top Bottom