Msaada tafadhali.

Nov 29, 2020
76
53
Naomba mnielekeze kampuni inayouza vifaa vya kuendeshea kilimo kama vile power tiller, gasoline micro tiller, na pipe za kuvutia maji katika kilimo cha umwagiliaji
 
Ungesema uko wapi ili upewe maelekezo rahisi zaidi. Nina namba za wauzaji wa vitu hivyo katika mikoa 4 tofauti na nafahamu ofisi si chini ya sita wanazo uza hizo. Sema upo wapi ili nijue nakuelekeza ofisi ipi iliyo jirani na wewe(kimkoa)

Kwenye powertiller kuwa makini sana. Wauzaji watataka wafanye biashara bila kujali mtumiaji itakusaidia kwa kiasi gani. So ongeza maelezo kidogo tujue unahitaji powetiller kwa ajili ya kulima shamba la ukubwa kiasi gani na budget yako ni kiasi gani pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom