Hello members
Aisee kuna fursa pia ufugaji wa wanyama pori ila fursa hii ni mahsusi kwa wenye mitaji mikubwa (ujenzi wa miundombinu)
Mathalani kufuga viboko : kiboko wakati wa kumchinja kama...
Habari wakuu
Nimefungua duka la kuuza mayai ya kisasa, nimegundua mayai yanahitajika sana maana mzigo unatoka mno, ila tatizo upatikanaji umekua changamoto, Tanzania tuna wafugaji wachache sana...
Ni tunda zuri sana kwa upande wa bei. Linauzwa ghali.
Japo yanapatikana kwenye masupermarket makubwa, hayalimwi Tanzania. Yanaagizwa toka nchi za nje.
Wakenya wameshaanza kulima kiwi. Miongoni...
Wakuu naomba mtu mwenye ujuzi nazo anisaidie. Nataka kujua pump yenye uwezo wa kuvuta maji kina cha mita 10 na kumwagilia ekari mbili inaweza kugharimu kiasi gani? Pia nilitaka kujua kama kilimo...
Wakoloni ambao ndio wazungu leo hii, waligawanya maeneo kulingana na hali ya hewa na walijikita kulima kitu ambacho eneo hilo kinafaa hawakutaka kuchanganya changanya mazao.
Mfano Maeneo ya...
MBUNGE ALOYCE KWEZI AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUJENGA KIWANDA CHA KUCHAKATA TUMBAKU KALIUA
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Aloyce Andrew Kwezi wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya...
Naombeni umshauri wale ambao mnaifahamu kuhusu dini Mimi ni muislamu Jina kwa maana siswali Ila familia yetu ni waislam.
Katika kutafuta Biashara ya nyumbani hisiyo na usumbufu sana nikagundua...
Wazo hili limezaliwa kutokana na michango ya wazoefu waliomo humu JF wa kilimo cha zao tajwa. Kwa kuwa wazo limezaliwa humu, nimeamua kulirejesha humu ili lipate ukosoaji wenye tija.
Kwa mujibu...
Wadau nafikiria nikope trekta la HP 35 ambalo talitumia kulima ekari zangu 50 na chache za majirani.Baada ya hapo nitakutumia kubebea mazao na vifaa vya ujenzi kwa maana ya kulikodisha...
Asili ya miti au zao hili ni Asia, Waarabu na wafanyabiashara walileta zao hili Tanzania miaka ya 1600-700. Minazi ya asili hi chukua miaka 10 tangu kupanda mpaka kuvuna au kuangua Nazi. Mti wa...
Kuna baadhi ya watu wanaosifia SUPER GRO na wengine kutoisifia kwa utendaji wake wa kazi kua ni mbovu
Ningependa kukaribisha maswali kuhusu SUPER GRO.
Karibuni....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.