Salaam kwenu wapendwa,
Mimi ni mkulima wa mazao ya nyanya na viazi mviringo.
Kuna ugonjwa ambao unanitesa sana shambani kwangu na kwa wengine pia ugonjwa wenyewe ni mmea kunyauka pindi tu unavyotaka kuweka matunda.
Naombeni msaada WA mawazo, dawa na namna ya kujinasua na huu ugonjwa wa mnyauko.
Mazao yanayoshambuliwa sana ni nyanya, Viazi mviringo na hoho
Natumia mbegu za F1 kwenye nyanya na hoho, viazi naandaa mwenyewe mbegu na kuipatia huduma zote.
Kuhusu mashamba ya kupanda tunapanda mashamba mapya ambayo yanavunwa miti ya mbao yenye rutuba nzuri
Na Ili shamba lirudiwe tena zao Hilo ni baada ya miaka mitatu
Karibuni