Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Kuna upotoshaji wa kutosha katika neno ujasiriamali kwa kuwa watu awajui maana kamili ya neno ujasiriamali imepelekea kushindwa kufikisha ujumbe
neno ujasiriamali ni imani katika biashara kwa ajiri ya kutengeneza faida
lakini kwa Tanzania neno ujasiriamali linatumika kama matumizi ya rasirimali zinazopatikana nchini au katika maeneo yetu ili kutengenezea bidhaa
ujasiriamali si kuuza sabuni
ujasiriamali si kutengeneza mabatiki tu
uujasiriamali si kutengeneza asali tu
jasiriamali si kutengeneza viatu
ujasiriamali ni imani katika biashara yenye lengo la kuleta faida