Kitu gani kimewasibu walio kuwa wadau wakubwa wa hili jukwaa?

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,485
8,701
Wakuu sii siri kwamba hili jukwaa lilikuwa ni moja ya jukwaa kubwa baada ya jukwaa la siasa, kulikuwa na debeti zilizo enda shule, sasa nauliza wale wadau wako wapi? siwaoni humu tena na je ni kitu gani kimewasibu?
 
hakuna kitu ni maamuzi tu baada ya kuona hakuna mafanikio katika hoja. Hata mpumbavu huonekana mwenye busara akinyamaza, wanapima busara zao
 
Wakuu sii siri kwamba hili jukwaa lilikuwa ni moja ya jukwaa kubwa baada ya jukwaa la siasa, kulikuwa na debeti zilizo enda shule, sasa nauliza wale wadau wako wapi? siwaoni humu tena na je ni kitu gani kimewasibu?

Walikuwa na ujasiriamali wa mdomo na keyboard. Kwenda field wamechemsha so wamekuwa wapole.
 
waliofanikiwa huwa hawasemi.ukiona mtu kidomo domo kuchangia kila mradi ujue hata kuku mmoja wa dawa hajawai kufuga
 
Baadhi kama kitomari2 alifanya sana utapeli hivyo baadhi ya watu wakaanza kuona hili jukwaa kuwa lina kondoo na mifisi
 
Back
Top Bottom