Mpango Kazi 2016

POCOLOKO

Senior Member
Sep 1, 2010
174
201
Ikiwa yamebaki masaa machache sana Hebu kila mtu aweke mpango kazi wake wa Mwakani hapa! ili wale ambao hawajandaa wajifunze toka kwenu.
Iwe ni Mwajiriwa au yeyote yule ni lazma tuwe na vitega uchumi vidogo ili tuweze jikwamua Kimaisha.
Mimi nitafungua Garage Mwakani.
 
Back
Top Bottom