Natafuta Farm Manager

Natafuta Farm Manager

Joined
Mar 18, 2015
Posts
51
Reaction score
0
Hello JF,

Ninatafuta Farm Manager kwa ajili ya usimamizi wa mradi wa shamba ulioko Tabora Kipalapala Matankini.
SIFA: Awe na Elimu ya Form Four na utaalamu ngazi ya cheti katika fani ya Kilimo na Mifugo na uzoefu wa angalao miaka miwili na kuendelea. Asiwe mlevi bali awe mwaminifu. Awe na familia yaani mke na watoto kwani atapatiwa makazi na ili aweze kuangalia shamba vizuri.

KAZI ATAKAZOFANYA:

Kuangalia shughuli zote za Kilimo na Mifugo (awe rafiki wa nguruwe pia kwa sababu ni sehemu ya mradi) kwenye mradi na kumshauri Mkurugenzi wa Mradi juu ya mikakati ya kuendeleza mradi, Atasimamia raslimali watu, atasimamia mali zote za mradi, atasimamia na kutoa taarifa ya majanga na magonjwa yatakayotegemewa kujitokeza. Maelekezo mengine atapewa akikubaliwa kuanza kazi.

PIGA SIMU 0764 601903 ufuate maelekezo
 
Sifa zoooooote ninazo!LAKINI KHAA JAMA NGURUWE?!!!!
 
nikusimamie na kukushauri ila nakuja kwa muda na kuondoka wenzako ndo wanafanya hivyo, tunalipana perdiem ya kutosha
 
Bro kuna mtu mtaalamu wa kilimo wa chuo cha mifugo kwasasa yako idle naweza kukupa mawasiliano muongee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom