Guys, nikiagiza food processing machine ya million 13 kutoka china, yenye uzito wa kg 250, nitalipia kodi zipi, zenye thamani ya shilingi ngapi ili itoke bandalini?
Pia shipping cost ya machine hii kotoka China to Tanzania inaweza kua shilingi ngapi?
Mkuu. Machine tariff rate zake import duty ni 10%, vat 18% na utalipa CPF (0.6% ya fob value) pamoja na kodi ya maendelo ya reli (1.5% ya cif value). Kuhusu freight charges lazima ujue mzigo wako una cubic measurement ngap.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.