Wandugu herini ya xmas na mwaka mpya. Kama mada inavyojieleza ninauza duka la nguo za watoto lenye thamani ya tsh 5.4m kwa tsh 3.5m. Duka lipo zunguni mtaa wa shabiby na ni duka pekee la watoto eneo hilo. Kwa mwenye uhitaji tafadhari ani-pm kwa mawasiliano. Nimeshindwa kuweka picha kwasababu ya aina ya cm ninayoitumia, asanteni.