Mazao Website testing

Nimeipenda pia ila naona wauzaji ndio wawe wanaweka bei yao ya mwisho ya uuzaji na si bei yao ya ulanguzi kwa mfano kama dagaa bei ya mwisho 2500 basi hiwe 2500..sio hapa inaonekana 2500 ukienda kwenye soko unakuta bei ya mwisho 1800..
Wauzaji waweke bei zao za mwisho na mawasiliano yao.
Pia kuwepo na mfumo wa malipo ya electronics.
 
Asante kwa hichi ulichokiongeze mkuu shukrani sana

Bei za matunda hujaweka
 
Back
Top Bottom