Inategemea kuanzia 550.000 mpaka 800.000 pia inategemea wapi zimetoka Na ubora. Kwa watoto nguo zao mchanganyiko kuanzia 700.000 mpaka 850.000.ila Kwa viatu sina hakika .hizo bei Kwa maduka ya IlalaJabari wana JF
Niko USA nataka kujua belo la mtumba wa viatu au jeans bei gani ?
na je hii biashara inalipa ?
Huwa unachukua kwa Barlow au moja moja?Happy new year pale Ilala sokoni utapata .mimi uwa Na chukua sana ila siuuzi Dar napekeka mkoani kila week nakuja kuchukua .biashara ni nzuri tu pale utakapofanya mwenyewe.siyo kuagiza mtu .
tunaomba jua huwa unachua kwa balo au kwa moja mojaHuwa unachukua kwa Barlow au moja moja?
Ni kama sijakuelewa mkuutunaomba jua huwa unachua kwa balo au kwa moja moja