Mbona unauza rahisi hivyo? Ni wakubwa kweli, weka picha tuone!Karibuni Bata Mzinga wakubwa, majike wanataga na madume wanapanda, jike elfu 90 dume 80. Karibuni pia kuku choatara vifaranga na mayai. KARIBUNI WOTE.
INGEPENDEZA KAMA UNGEKAMLISHA TANGAZO LAKO, YAANI MAWASILIAANO, SEHEM ULIPO NA VITU VINGINEEKaribuni Bata Mzinga wakubwa, majike wanataga na madume wanapanda, jike laki 1 dume 90. Karibuni pia kuku choatara vifaranga na mayai. KARIBUNI WOTE.