Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Mwanasaikolojia Anti Sadaka amewafunda wanawake wa Zanzibar wanaoshiriki mafunzo ya ujasiriamali ya kujikita katika biashara ya Vipodozi vya LuvTouch Manjano. Mafunzo hayo yanaendeshwa na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu, heshima kwenu. Mimi ni mjasiriamali niko Mwanza mjini, Natafuta Chumba cha kupanga Jijini Mwanza kwa ajili ya kufungua Mgahawa wa kuuza chakula. Kwa ambae anaweza kunisaidia kupata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
UNICEF is inviting technology start-ups developing solutions with the potential to improve the lives of the world’s most vulnerable children to apply for funding from its recently launched...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini za humu wakuu moja kwa moja niende kwenye mada..... jamani sisi tupo watu tisa kwenye kundi letu kwa mwaka sasa tumekua lakini tumekua tukijaribu kufanya shughuli mbali mbali lakini...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Halo wakuu, kama heading inavyosema hapo, nina kuku wa kienyeji kama 150 hv, ambao ninawafuga nusu huria, yaan wako ndani ya fensi, so nawapa chakula ila pia wanajitafutia ndani ya huo uzio, kuna...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Salam Wanajamvi, Hivi hii kamata kamata ya pikipiki ina tija gani kwa serikali? Nina jamaa yangu huwa ni dreva bodaboda na huwa anaegesha pikipiki yake macho,na pia anafanya shughuli za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za leo wadau.. Kwanza poleni sana na misaada yenu mnayotoa katika kuelimisha na kutusaidia kwa namna moja au nyingine humu kwenye forum. Mimi nataka kuanza ufugaji wa bata maji aina ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
3 Money Habits That Separate the Rich From the Poor It all starts with the same amount of money—just a different philosophy. January 30, 2016 Here is an exciting thought! Why not work full...
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Nawasalimu wana jf!Naomba ushauri na msaada kwa anayejua biashara ya kuuza mchele na changamoto zake.Niko moro!
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Jifunze jinsi ya kujiajiri kwa kutengeneza bwawa la samaki wa mapambo. Vifaa vinategemea ukubwa wa bwawa.
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Wandugu habari za uskiku leo naomba nisisitize wakati tunaingia mwaka mwingine kwa wale wajasiriamali napenda niwahamasishe kuwa tafadhali jitahidi kuweka kumbukumbu zako za biashara vyema ili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari? Kuna jamaa kaniambia jana kuwa ukifanya kilimo cha nyanya kwa kutumia greenhouse ukifungiwa na hawa jamaa wa balton Tanzania. Wewe utakua hufanyi kazi yoyote zaidi ya kuchuma nyanya na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Gari inauzwa Mitsubish Rosa engine 4D32 inatembea ipo barabarani. 0713669533. Mnunuzi anahitajika.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ndungu,naomba msaada wa kujua biashara ya spare za piki piki ina hitaji mtaji wa kiasi gani...,pili challenge zake ni zipi
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Natumaini Wajasirimali mnaendelea vyema humu ndani, ni long time sana, na naamini mwaka mpya huu Wajasirimali mmejipanga kupiga hatua kadhaa mbele katika kutimiza ndoto au plan.Mimi nipo bado...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
COMBINE HARVESTER INAUNZWA tunauza mashine ya kuvunia nafaka tofauti (COMBINE HARVESTER) ipo imara sana na inafaa sana kwa mazingira ya hapa kwetu inaweza kuishi mda mrefu na ni simple sana...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Jamani natafuta ubuyu wa zanzibar. Mi nipo moshi. Nipm tufanye biashara
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiwashuhudia ndugu, jamaa na marafiki zangu wakisifia biashara ya mayai ya kware. Kwamba inalipa na pia hata mahitaji ya kuwatunza kware sio gharama kubwa, hivyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
** TEEP 2016 - 2nd ANNUAL TONY ELUMELU ENTREPRENEURSHIP PROGRAMME ROUND LAUNCHES 1ST JANUARY 2016 Dear A year ago today, we announced the Tony Elumelu Entrepreneurship Programme (TEEP) to the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna wakati tunahitaji kutumia fikra huru na zilizoerevuka, kama unafuga ng'ombe kwa ajili ya kupata maziwa na uwezo wako ni kunywa glasi mbili tu na tena si kwa kila siku kitu ambacho unaweza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…