real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Habari? Kuna jamaa kaniambia jana kuwa ukifanya kilimo cha nyanya kwa kutumia greenhouse ukifungiwa na hawa jamaa wa balton Tanzania.
Wewe utakua hufanyi kazi yoyote zaidi ya kuchuma nyanya na kupeleka sokoni tu yaani risk na changamoto ni kama vile hakuna na wanakufungia full set kuanzia mbegu hadi system ya umwagiliaji na masoko pia wanakupa
gharama zake kwa mwanzo ni tshs 4,000,000 na mapato yake ni tshs 6,500,000 kwa wastani ila unafanya kwa nwaka mara mbili na inadumu kwa miaka 5.
Je hii ni kweli wadau? isije kuwa wanafanya tu promo kumbe kwenye practical ni pasua kichwa.