Natafuta Chumba au sehemu ya kufungua Maabara Jijini Mwanza.

Aljazera

JF-Expert Member
Feb 11, 2015
637
224
Wakuu, heshima kwenu.

Mimi ni mjasiriamali niko Mwanza mjini, Natafuta Chumba cha kupanga Jijini Mwanza kwa ajili ya kufungua Mgahawa wa kuuza chakula.

Kwa ambae anaweza kunisaidia kupata Chumba au sehemu ya kufanyia biashara hiyo au mtu yeyote mwenye sehemu ya kufanyia biashara husika anaikodisha/kuipangisha hasa maeneo ya katikati ya Jiji nitashukuru sana na ninatanguliza shukrani.
 
Hongera nasikia hiyo biashara inalipa sana. Lakini nakushauri kwanza urekebishe hicho kichwa cha hii thread maana hakihusiani na biashara ya mgahawa.
 
Hongera nasikia hiyo biashara inalipa sana. Lakini nakushauri kwanza urekebishe hicho kichwa cha hii thread maana hakihusiani na biashara ya mgahawa.
Nashukuru Mkuu ila inaniwia vigumu ku edit kichwa cha thread, nimeenda kwenye sehemu ya kuedit inaniruhusu kuedit Ujumbe nilioandika.

Mods naombeni msaada wenu kubadili hilo neno Maabara liwe Mgahawa.
 
Back
Top Bottom