Umuhimu wa kuweka kumbukumbu katika kulipa kodi na kukua kwa Biashara

Nyumbalao

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
489
518
Wandugu habari za uskiku leo naomba nisisitize wakati tunaingia mwaka mwingine kwa wale wajasiriamali napenda niwahamasishe kuwa tafadhali jitahidi kuweka kumbukumbu zako za biashara vyema ili ikusaidie katika kuijua biashara yako inaendaje na vilevile kukusaidia katika kulipa kodi zinazomuangukia serikali.
Huko tulikotoka sio tunakokwenda ili kutoachilia mwanya wa kupoteza fedha kwa kodi za makadirio nakupa ushauri tunza mahesabu yako vizuri na kuhakikisha kila matumizi yako yana risiti na mapato yako yawe na rekodi vizuri jifunze kuweka kwenye kitabu ambacho ni binding na rekodi ya mwaka nzima ili mtu yeyote akija kwako unajua hali halisi ya biashara yako. Mambo mengine muhimu katika swala la kodi ambalo watu wengi hawaliangalie ni kodi hodhi (withholding taxes) hizi ni kodi kama vile PAYE(Pay AS You earn), SDL (Skill Development Tax) ambayo kama unaajiri watu unatakiwa upeleke TRA kila mwezi wajasiriamali wengi wameajiri watu tena kwa mikataba lakini hii hawapeleki hilo ni kinyume cha sheria, pili kodi hodhi ya pango mtu yeyote anayepokea kodi ya pango anatakiwa kuwasilisha asilimia 10 kama kodi kwenye TRA sasa ni kazi yako wewe mjasiriamali kudai toka kwenye sehemu ambayo umepanga upewe cheti cha kuonyesha tajiri aliyepokea kodi yako amelipa TRA kama udhibitisho na mikataba unayoingia uangalie nani anadhamana ya kulipa kodi hiyo ni muhimu maana wakati tunataka kukusanya mapato yote yanayotakiwa kisheria ni vyema kila mtu akawa anajua wajibu wake.
Naomba kuwasiliasha biashara bila kitabu hupotea bila habari.
 
Hilo ni kweli kabisA
 
Good kwa kutukumbusha!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom