noel2512
Member
- Feb 26, 2015
- 80
- 14
Habari za leo wadau..
Kwanza poleni sana na misaada yenu mnayotoa katika kuelimisha na kutusaidia kwa namna moja au nyingine humu kwenye forum. Mimi nataka kuanza ufugaji wa bata maji aina ya pekin ila nimejaribu kuulizia maeneo mengi ya bara na visiwani na kwa watu wengi wanaouza bata kama wanayo mbegu hii na wote hawana na kwasasa inaonekana kama ndoto yangu inataka kugonga ukuta. Katika research zangu za kimataifa nimegundua kuna watu wanawauza hawa ndege nchi za kusini mwa africa na sasa swali langu ni je mtu ukitaka kuingiza ndege ambao wapo hai nchini kama bata unaitaji kibali? Naelewa mambo kama ya chanjo ni lazima yasingatiwe haswa katika suala la quarantine lakini je kuna vitu gani vingine ambavyo nitahitaji kuwa navyo. Na kama nitahitaji vibali, ni wapi vinapotolewa au ni pale pale kilimo na uvuvi?
Nitashukuru kwa msaada wowote wadau.
Asanteni sana.