mfwimijr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 203
- 152
Kuna wakati tunahitaji kutumia fikra huru na zilizoerevuka, kama unafuga ng'ombe kwa ajili ya kupata maziwa na uwezo wako ni kunywa glasi mbili tu na tena si kwa kila siku kitu ambacho unaweza kununua kila pindi unapohitaji, sasa kuna haja gani ya kuendelea kufuga ng'ombe ambaye anakupa karaha za malisho, madawa, usafi wake na banda na kumgharimia mhudumu wake?. Kwanini usinunue tu maziwa pale unapoyahitaji na tena sasa hv kuna ujazo wa aina tofauti kulingana na mahitaji yako.
Think twice, ndipo uchangie
Think twice, ndipo uchangie