Kupata majaliwa
New Member
- Jan 26, 2016
- 4
- 0
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiwashuhudia ndugu, jamaa na marafiki zangu wakisifia biashara ya mayai ya kware.
Kwamba inalipa na pia hata mahitaji ya kuwatunza kware sio gharama kubwa, hivyo nikavutika na mm kuwa miongoni mwa wajasiriamali wa biashara hii.
Natumai kwenye jukwaa hili hakuwezi kukosa wadau ambao waliowahi au wanaofanya biashara hii.
Nahitaji mnipe muongozo wenu.