Habari ndungu,naomba msaada wa kujua biashara ya spare za piki piki ina hitaji mtaji wa kiasi gani...,pili challenge zake ni zipi
mil 5 mtaji mkubwa sana.kikubwa hapo ni vizur sehem unapouzia spare kuwe na sehemu ambayo fundi anategenezea pikipiki. itakuraisishia kufanya kuuza spare kwa haraka sana
Asante sana mkuu,unafikiri ni mikao gani mizuri wa kufanya hii biasharamil 5 mtaji mkubwa sana.kikubwa hapo ni vizur sehem unapouzia spare kuwe na sehemu ambayo fundi anategenezea pikipiki. itakuraisishia kufanya kuuza spare kwa haraka sana