Ushauri wenu tafadhali

Ben baba

Member
Dec 31, 2015
69
34
Habarini za humu wakuu

moja kwa moja niende kwenye mada.....

jamani sisi tupo watu tisa kwenye kundi letu kwa mwaka sasa tumekua lakini tumekua tukijaribu kufanya shughuli mbali mbali lakini bado tunesuasua hasa kwenye mtaji ili kupanua shughuli zetu za kilimo.

sasa naomba ushauri wenu tufanyaje ili japo tukopesheke?
 
Back
Top Bottom