Habari za miaka Wajasirimali?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,815
9,057
Natumaini Wajasirimali mnaendelea vyema humu ndani, ni long time sana, na naamini mwaka mpya huu Wajasirimali mmejipanga kupiga hatua kadhaa mbele katika kutimiza ndoto au plan.Mimi nipo bado napambana na sijakata tamaa na hatutakiwi kukata tamaa kamwe
 
Mkuu upo!?
I use to read and like ur articles, ghafla ukatoweka, thanx u'r back.
Yaa hatutakiwi kukata tamaa, na ikibidi kukata tamaa basi tuhakikishe pasi na shaka kinachofata haraka sana baada ya kukata tamaa ni kifo, vinginevyo tutajutia maamuz ya kukata tamaa. Na habar nzuri Mungu uwa anamipango ya kuwaweka hai kwa muda mrefu sana wote waliokata tamaa mapema ili wajutie maamuz yao.
 
Hahaaa ni kweli mkuu unatakiwa kukata tamaa siku unakufa, yaani siku pumzi imekata ndo inakuwa mwisho ila ukiwa na pumzi na nguvu ni kupambana
 
Natumaini Wajasirimali mnaendelea vyema humu ndani, ni long time sana, na naamini mwaka mpya huu Wajasirimali mmejipanga kupiga hatua kadhaa mbele katika kutimiza ndoto au plan.Mimi nipo bado napambana na sijakata tamaa na hatutakiwi kukata tamaa kamwe
Karibu... Wengine ndio twataka tuianze..
 
Back
Top Bottom