Wadau naombeni mnipe mustakabali naitaji kufanya ujasiriamali wa kilimo , Ruvu ni sehemu watu wanalima sana hasa hizi mboga mboga na matikikti je kuna mtu anaweza nipa contact za mwenyeji mmoja niwasiliane akanipe abc nikilidhika ni taarifa zake nitaanza process, asanteni