Naweza kufanya kilimo cha mpunga kwenye shamba hili? Ushauri tafadhali

WPT

Member
Apr 19, 2016
20
6
Hello...

Khabar zenu wapendwa..

Nina shamba la ecre nne lipo bagamoyo.. Maji yake yanafika magotini.. Je linafaa kwa kilimo cha mpunga??.. Na je... Ni mbegu gan nitumie??..
 
Back
Top Bottom