Napataje kuku anayetaga mayai zaidi ya 1 kwa siku!?

sidhani kama ni aina ya kuku, kuna uzi hapa ulielezea namna Waisrael walivyofanikiwa hilo siikumbuki vizuri link yake
 
Yeah mi pia niliwahi mshuhudia huyo kuku, aliletwa nyumbani na Mama ilikuwa kila akila anakaa muda kidogo anataga yai... Lakini kesho yake tulimchinja:(, sa sijui alimtolea wapi. Yani ni ajabu, anataga tunamuona.
 
bio haipo, usiwe MTU wa kudanganyika kwa urahisi,
Kuku hutaga yai Mona kwa siku na mzunguko wa kuteneneza yai huhitaji zaidi ya masaa 18 kwa yai lingine kuwa tayari kutagwa
Usikariri mkuu, nishakutana nao pia kwenye shamba moja lipo kigamboni karibia na kimbiji, baada ya avic town nadhani, shamba linaitwa shadi poultry farm kama sijakosea.
 
Wakuu ninahitaji kuku wanaotaga mayai zaidi ya moja kwa Sikh,kuna mtu alinipa contact lakini nikapoteza cm,
mkuu ukipa namna ya kumpata huyo kuku naomba uni PM info jinsigani na mm naeza mpata
Thanks in advance.
 
Wakuu ninahitaji kuku wanaotaga mayai zaidi ya moja kwa Sikh,kuna mtu alinipa contact lakini nikapoteza cm,
Mkuu ukipata utujuze hapa wengine tupo kwny poultry industry lkn cjawai sikia
 
-Sio kuku jini huyo? Manake nafuga kuky hadi bata mzinga:In short sijawai ona kuku kutaga yai zaidi ya 1 kwa siky,awe wakienyeji/wakisasa nu yai 1 tu jwa siku.
-Ukipata tujulishe ika wakisasa sitaki asee..
 
Hakuna kitu kama hicho kuku anaweza kutaga yai moja kwa siku inatokeaga likawa na viini viwili ndani ya ganda moja lakini si maganda mawili tofauti
 
Yeah mi pia niliwahi mshuhudia huyo kuku, aliletwa nyumbani na Mama ilikuwa kila akila anakaa muda kidogo anataga yai... Lakini kesho yake tulimchinja:(, sa sijui alimtolea wapi. Yani ni ajabu, anataga tunamuona.
Kama na wewe hio nyama ulikula basi mkuu jiandae.
Utakuwa unatagaa balaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom