Bigboy74 Senior Member Mar 6, 2009 105 109 Apr 19, 2016 #1 30,000MT of Red Kidney Beans needed. Is there any Seller out there? PM with price and terms of sale
Abra One JF-Expert Member Jun 11, 2013 917 376 Apr 19, 2016 #2 Andika kiswahili basi mkuu mi sijaelewa ujue..
Bigboy74 Senior Member Mar 6, 2009 105 109 Apr 20, 2016 Thread starter #3 Samahani mkuu ni aina ya maharage mekundu. Natafuta kiasi nlichotaja apo juu. Abra One
Abra One JF-Expert Member Jun 11, 2013 917 376 Apr 20, 2016 #4 30,000MT ni nini?? Kuna rafiki analima maharage nitamuliza kama anaendana na hizo terms..
somji Senior Member Jan 11, 2015 114 67 Apr 24, 2016 #6 Nicheck kwa hii no 0752886798. Nao mzigo mwingii ndo navuna sasahiv mkuu.
dansmith JF-Expert Member Dec 21, 2013 2,305 2,095 Apr 26, 2016 #8 Duu nimecheka jamani jaribuni kutumia lugha rafiki