Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Naomba kuuliza juu ya kilimo cha karoti,strawbelly na pilipili hoho. Niko Iringa, naomba msaada wenu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari Zenu Wadau wa Jamii Forum! Mimi ni Mkulima na Mfugaji wa Kuku. Sasa mazao yangu ya kuku pamoja na Matunda yapo tayari ,natafuta soko. Matunda nina Ekari Tano Approx Matunda 15,000 na...
4 Reactions
21 Replies
8K Views
Ndugu wananchi, Ufugaji wa kuku ni biashara kubwa ambayo imewatajirisha wafugaji na wengi wao sasa ni matajiri wa kutupwa. Kwa mtu yeyote anayetaka kutajirika kupitia ufugaji wa kuku, naomba...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hawa jamaa wamevamia kijijini kwetu, ni maafa, dawa ake ni nini
0 Reactions
5 Replies
4K Views
528 Eggs full automatic available in Dar. Price TZS 2,000,000. Contact 0785670038
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima mbele wadau. Naona kuna vijana wengi waliosomea kilimo na biashara wanahangaika kutafuta kazi kwa miaka mingi bila mafanikio. Nimeamua kuanzisha kazi ya kilimo mchanganyiko cha mboga...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Habarini wadau. Nahitaji vifungashio vya mafuta ya nazi vilivyo na ubora wa hali ya juu ili kukidhi masoko ya ndani na nje. Mawasiliano yafanyike katika usi huu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wakuu, ninauza magunia. yanafaa kuwekea vitunguu, vitunguu saum n.k bei ni sh. 2500@ karibuni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Liko Tabata segerea.. linachukua kuku 400 wa nyama ... au kuku 200 wa mayai.. limetengenezwa kwa ghorofa 4 kwa utaalamu wa hali ya juu kwa kutumia vipande vyepesi vya mbao na nyavu... Mwenye nalo...
0 Reactions
11 Replies
13K Views
Habari wadau kwa wanaohitaji kuku wa kienyeji dar wapo 40 mitetea wakubwa kabisa wanataga majogoo 10 kwa sasa bei ni 14000 kila mmoja aliye serious anicheki hapa 0674522382 karibuni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Wapendwa. Napenda kuwataarifu kuhusu Mafunzo ya ujasiriamali kwa wakazi wa mkoa wa DODOMA Darasa litahusika na mafunzo ya kutengeneza sabuni za mche, sabuni za unga, sabuni za maji na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
USIFANYE BIASHARA KAMA HUNA YAFUATAYO. Sipendi kukuambia nini usifanye, kwa sababu ni hasi. Napenda kukuambia ni nini ufanye, ili iwe rahisi kwako kufuata vizuri. Msisitizo unahitajika zaidi ili...
6 Reactions
26 Replies
5K Views
Wakuu mambo vipi? Nilikuwa nauliza Pangani kuna fursa gani za biashara ambazo bado zipo empty au hazijawa occupied sana?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau naomba kufahamishwa usalama wa hiki kikundi cha kukopesha watanzania cha focus vicoba, Je kuna mtu yeyote amefanikiwa kukopeshwa na kuendana na masharti yao ? Wadau hebu angalieni...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari yenu JF members, Tunatafuta wateja wa jumla wa samaki wabichi aina ya sato na sangara kutoka Mwanza. Sangara wanaukubwa wa kuanzia 50cm na Sato 25cm. Pia tunatoa na hudumu ya kusafirisha...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi ni mjasiriamali natafuta ushauri na connections na wadau wanaojihusisha au wenye uzoefu na biashara ya supply and demand ya viwanda vya mifugo. Yoyote mwenye interest tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta mtaalamu wa kufuga kuku wa mayai na jinsi ya kujenga mabanda yao Naomba anionyeshe Cheti cha utaalamu huo. Mawasiliano 0713 689665
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni mjasiriamali natafuta ushauri na connections na wadau wanaojihusisha au wenye uzoefu na biashara ya supply and demand ya viwanda vya mifugo. Yoyote mwenye interest tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Please naomba kama kuna mtu anajua sehemu ya kutotoleshea mayai hapa DSM town tuwekee contact details hapa shukran
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina wazo la kuinvest kwenye mashamba ya miti ya mbao au milingoti, mwenye uzoefu kwenye sekta hii naomba ushauri namna ya kuanza, gharama za mwanzo hasa kwa anaenza small scale maeneo ya iringa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom