Wana JF; Habari ya asubuhi
kama ilivyo heading hapo juu; mimi ni mfugaji wa samaki kwa kutumia ndimbwi la samaki hapa nyumbani; kwa bahati mbaya kwenye dimbwi hilo la samaki vyura wameingia na wameanza kula chakula cha samaki niwafugao
Naomba kujuzwa ni kwa namna gani naweza kuwaondoa hao vyula bila kuwaathiri hao samaki waliomo ndani ambao bado ni wadogo
Natanguliza shukrani kwenu