Natafuta mshauri wa kilimo hapa DSM tutalipana kwa makubaliano maalum

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
541
HELO HABARI WAJASIRIAMALI WENZANGU

Nataka kuanza kilimo cha mazao kadhaa especialy ya matunda kama maembe, mapapai na ya mboga mboga kama bamia, pilipili, nyanya etc sasa sitaki kutumia kilimo cha kubahatisha, nahitaji mtu mtaalamu ambae atanishika mkono kuanzia ushauri wa mazao yanayolipa vizuri na mpaka magonjwa mpaka soko, then tutalipana kutokana na makubaliano maalumu.

Naamini baada ya msimu mmoja nitakuwa kwenye position nzuri ya kuendelea mwenyewe kwa kiasi fulani. Tafadhali mwenye kumjua mtu au kama upo huku naomba tuwasiliane ili tupange michakato. Mtu wa hapa Dar atafaa zaidi kwa sababu sitarajii kulima mbali mkoani pia awe ni mzoefu na rotation ya mazao hayo.

Asanteni.
 
Mimi sijasomea but Nina experience nzuri tuu ya kilimo, me sihitaji unilipe, nipe heka 1 tuu. Katika shamba lako. If you are interested please call 0767328063
 
Wasliliana na SUA pale,nakumbuka niliwahi kuwauliza kipindi fulani jambo fulani.
Then kuna wahitim kibaoo pale na wengine wapo kwenye ajira ila wanamuda na wanaweza kukupa na kukusaidia.
Kaaa ukijua kwamba Kilimo kwa sasa ni taaluma,sio ujanja ujanja tuu,sijui mie ninamazoea,mara mzoefu,hakuna ubabaishaji huo kwa sasa.
Tafuta mtaalam ndani ya mwaka atakuachia mwenyewe then yeye atakuwa kama mshauri tu pale kwenye utata,ni sawa na Wafugaji wa Ng`ombe wa maziwa,mwanzo wanakuwa karibu sana na Dk wa Mifugo,kila muda unavyozidi kwenda mbele gape linapungua kisha kuwa wao wenyewe na Dokta wa mifuko kuja kwa muda maalum tu kwa kazi maalum.
 
Wasliliana na SUA pale,nakumbuka niliwahi kuwauliza kipindi fulani jambo fulani.
Then kuna wahitim kibaoo pale na wengine wapo kwenye ajia ila wanamuda na wanaweza kukupa na kukusaidia.
Kaaa ukijua kwamba Kilimo kwa sasa ni taaluma,sio ujanja ujanja tuu,sijui mie ninamazoe,mara mzoefu,hakuna ubabaishaji huo kwa sasa.
Tafuta mtaalam ndani ya mwaka atakuachia mwenye then yeye atakuwa kama mshauri tu pale kwenye utata,ni sawa na Wafugaji wa Ng`ombe wa maziwa,mwanzo wanakuwa karibu sana na Dk wa Mifugo,kila muda unavyozidi kwenda mbele gape linapungua kisha kuwa wao wenyewe na Dokta wa mifuko kuja kwa muda maalum tu kwa kazi maalum.
 
Back
Top Bottom