mitale na midimu JF-Expert Member Aug 26, 2015 10,420 17,722 Jan 14, 2016 #1 Wakuu nahitaji kujua njia ya kisasa au yoyote ile ya kutunza maziwa Fresh ya ng'ombe kienyeji bila kuharibika. msaada tafadhali
Wakuu nahitaji kujua njia ya kisasa au yoyote ile ya kutunza maziwa Fresh ya ng'ombe kienyeji bila kuharibika. msaada tafadhali
timetoloveyourself JF-Expert Member Mar 24, 2015 206 206 Apr 22, 2016 #3 Huku watu hawakuji sana kutoa elimu Ngoja tuzidi kusibiri