Mtaalamu wa ufugaji wa kuku kuchi

ZIRO

JF-Expert Member
Nov 10, 2014
896
658
Amani iwe kwenu,naomba msaada ya mtaalamu wa ufugaji kuku wa kienyeji aina ya kuchi,gharama na bei yake sokoni
 
Kuchi ni jamii ya kuku wenye umbo refu,mkia uliolala na midomo mifupi sna hawapatikani kwa wingi kama kuku wa kawaida,Niko na jogoo la kuchi nauza 200,000/= 0676 673163.
Weka picha ya kuku yenye kikaratasi cha jina lako kuthibitisha kama kweli ni mfugaji.
 
Nilitaka na mimi nimuulize kuna majogoo mbegu ya kuchi original ni elfu 30
Sasa wewe utabaki kushangaa kuchi anauzwa laki mbili wakati wengine wanauza mpka laki tano,kama hauamini hata kenya bei yao ni kubwa sna,Fanya kusearch kwa google afu andika kuku kuchi olx kenya afu utaona bei zao.we endelea kushangaa watu tunapiga hela.Weka hizo picha za hao kuchi unaosema 30,000 afu ujue kama ni kuchi original.
 
Wapo juu Sana japo nimepanga mwakani Mungu akiniweka nianze ufugaji wa kuku wa kienyeji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom