Usafirishaji wa mazao kwenda katika soko

luckyG

New Member
Jun 18, 2015
4
0
Habari wanaJF,

Naomba mwenye experience na usafirishaji wa mazao kwa kukodi gari ni shiling ngapi mfano toka Morogoro kwenda Dar?

Na pia inawezekana kusafirisha mazao kama matikiti fuso nzima mpaka Dar toka Morogoro eneo la Ifakara na yafike salama?

Natanguliza shukrani.
 
hmm njia rahisi ni hii, malori mengi ya usafiri yanakuwa chini ya madalali, upo wapi ili nikurahisishie?
 
ahahahahahahaa filonos nalima sehem moja inaitwa ifakara huku mzee
 
Back
Top Bottom