ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Habarini wafugaji, natafuta mbegu ya kuku aina ya RHODE ISLAND RED kama ni wewe au unamfahamu mtu anauza vifaranga vyake naomba msaada.
Asante
Asante
Nitakupigia leo mchana mkuu. AsanteNITAFUTE 0784488854 0717214282
MKUU NAMBA ZAKO ZOTE HAZIPATIKANIKARIBU