Manchid JF-Expert Member May 29, 2016 218 469 Jun 7, 2016 #1 Nataka nianze ufugaji wa kuku wa kienyeji mwakani ntakapo maliza elimu yangu. Je naanzaje anzaje na mtaji upi unahitajika katika kufuga kuku wa kienyeji pia malezi yao yanakuaje
Nataka nianze ufugaji wa kuku wa kienyeji mwakani ntakapo maliza elimu yangu. Je naanzaje anzaje na mtaji upi unahitajika katika kufuga kuku wa kienyeji pia malezi yao yanakuaje
nyamchele JF-Expert Member May 28, 2014 1,325 1,033 Jun 8, 2016 #2 Kwa kuanzia soma hapa Unataka kuwa tajiri? - Mwongozo kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji